Bunge limelazimika kusitisha shughuli zake hadi kesho kufuatia maamuzi
ya bunge kuondoa hoja ya Mh John Mnyika juu ya uboreshaji
upatikanaji wa maji safi na ushughulikiaji wa maji taka katika
jiji la Dar es salaam ambapo kufuatia kitendo cha kuondolewa kwa
hoja hiyo wabunge wa kambi ya upinzani hawakukubali na kusimama wote
kwa pamoja na kuanza kuzomea na kuimba.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA