Header Ads

Breaking News
recent

MSANII WA MAIGIZO YA VICHEKESHO 'KITALE' AMEFUNGA NDOA RASMI.

Msanii wa Filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kama Kitale, juzi amesherehekea siku yake muhim, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake, ambae leo hii tunamuongelea kama mkewe, Bi Fatma Salum.

Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane mchana maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao wakiwemo marafiki, ndugu na jamaa.

 Kitale akitia sahihi

Kitale na mkewe
Kitale akionyesha cheti cha ndoa.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.