Header Ads

Breaking News
recent

MOTO WATEKETEZA MADUKA YA VIPODOZI MWENGE - ITV HABARI.


Hali ya taharuki imetokea katika kituo cha daladala cha Mwenge jijini Dar es Salaam baada ya moto kuanza kuwaka katika baadhi ya maduka ya vipodozi katika eneo hilo na kusababisha baadhi ya bidhaa na maduka kuteketea kwa moto.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.