MWANADADA MAARUFU SANA NCHINI UGANDA "BAD BLACK"
Mwanadada maarufu nchini Uganda "Bad Black" kabla ya kufanya mahojiano na kituo cha Luninga cha Bukedde Tv nchini humo, alifunguka kuwa baba halisi wa mtoto wake wa kike wa mwisho ni 'Eugene Sepuya' mchezaji wa timu ya taifa ya nchini humo yani "The Cranes" ambye pia alikana kutokuwa baba wa mtoto huyo.
Lakini mwanadada huyo Bad Black amefunguka kuwa yuko tayari kwenda kufanya vipimo vya DNA endapo mchezaji huyo ambaye ni baba wa mwanae ataendelea kumkana mwanae.
Sikiliza hapa wimbo wake mpya.
Lakini mwanadada huyo Bad Black amefunguka kuwa yuko tayari kwenda kufanya vipimo vya DNA endapo mchezaji huyo ambaye ni baba wa mwanae ataendelea kumkana mwanae.
Sikiliza hapa wimbo wake mpya.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA