MUIGIZAJI MAARUFU CHINEDU "AKI" IKEDIEZE AMETIMIZA MIAKA 35.
Muigizaji Maarufu kutoka Nollywood anayeonekana kuwa na umbo dogo la kitoto Chinedu maarufu kwa jina la uigizaji kama 'AKI' jana ilikuwa siku yake ya kuzaliwa.
AKI alizaliwa December 1977 katika familia ya Bw na Bibi Michael Ikedieze Ogbonna, hivyo jana ametimiza rasmi miaka 35.
The graduate of mass communication from the Institute of Management and Technology, Enugu (Nigeria), is a recipient of the Lifetime Achievement Award at the African Movie Academy Awards.
HAPPY BIRTHDAY 'Aki'

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA