MSANII D 'BANJI AONGOZA KWA KUCHAGULIWA KUSHIRIKI KATIKA WORLD MUSIC AWARDS 2012.
Msanii D’banj amechaguliwa katika categories nne za kushindania World Music Awards 2012, ambapo msanii huyu ndiye anayeongoza kwa kuchaguliwa katika nafasi nyingi katika tuzo hizo kwa wasanii wa kinageria.
The categories are: Best African Act – (Oliver Twist). Best Music Video – (Oliver Twist). Best Song of the Year- (Oliver Twist). Best World Artist – (Oliver Twist)
Msanii D”banj pia atapanda jukwaani kutumbuiza katika tuzo hizo zitakazofanyika December 20th huko Miami, Florida.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA