MCHEZA FILAMU MKONGWE NCHINI NIGERIA "Enebeli Elebua" AFARIKI DUNIA.
Kifo cha muigizaji wa Nollywood, Enebeli Elebuwa mapema jana, Jumatano, Desemba 5, 2012 kilitokea katika hospitali moja huko nchini India.
Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa Elebuwa alikuwa akiuumwa kwa takribani mwaka mzima, ambapo alipelekwa nchini India ili kupewa matibabu, hadi umauti ulipomkuta akiwa huko huko India.
Muigizaji huyu maarufu nchini Nigeria amefariki akiwa na miaka 65 huku akiambatana na wasanii wenzake wa filamu waliofariki hivi karibuni; Akin Ogungbe ambaye alizikwa wiki iliyopita, na mwingine aliyeitwa Pete Eneh ambaye alifariki mwezi uliopita.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA