MWANAMKE TAJIRI DUNIANI ATOKA AFRIKA - AMZIDI MBALI OPRAH WINFREY.
Oprah Winfrey amepoteza cheo chake cha kuwa mwanamke tajiri duniani baada ya mwanamke mwenye asili ya kiafrika Folashade Alakija kunyakuwa cheo hicho kilichokuwa kikishikiliwa na mwanamama Oprah kwa muda mrefu.
Alakija mwanamke mwenye umri wa miaka 61 raia wa Nigeria, ameripotiwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 3.2 sawa na dola milioni 500 ambapo Oprah akifuatia akiwa na utajili wa dola bilioni 2.7. 'Ventures Africa imetoa ripoti hii'. Alakija ni mmiliki wa kampuni ya mafuta ya Famfa Oil.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA