Hawa ndio watoto wa msanii kutoka nchini Nigeria maarufu kama 2Face ambao mmoja anaitwa Nino na mwingine Zion. Watoto msanii huyu aliyewahi kutamba na wimbo wa 'African Queen', wanafanana sana na baba yao.
PICHA YA WATOTO WA MSANII 2FACE - NINO NA ZION.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, December 06, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA