Mbwa watatu wamekuwa katika mafunzo ya kuendesha gari kwa lengo la kutoa msaada wakati wa majanga yanapokuwa yamewakumba watu huko nchini New Zealand. Jionee mwenyewe hiyo video hapo chini....
VIDEO: VICHEKESHO - MBWA WA 3 WAFUZU MAFUNZO YA KUENDESHA GARI KATIKA KUOKOA WATU KATIKA MAJANGA.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, December 06, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA