Header Ads

Breaking News
recent

LIL WAYNE AZUZUKA NA MCHEZA BASKET WA KIKE, AHUDHURIA MECHI ZAKE.

Chanzo kimefunguka kuwa msanii huyu wa hip hop "Lil Wayne", amekuwa karibu na mwanadada nyota wa mpira wa kikapu "Skylar Diggans" hapo pichani, baada ya Weezy kumtaja katika ngoma yake hivi.

Lil Wayne ameonekana akihudhulia katika baadhi za mechi anazokuwa akicheza mwanadada huyu. Hatahivyo alipoulizwa mwanadada huyu katika mtandao wa Tweeter, kuwa niaje Weezy anahudhuria katika mechi yako, yeye alijibu- alikuja kuchekitu mechi.... Akaulizwa tena Weezy ameishia kucheki tu mechi yako na hakuna kinachoendelea? Alijibu hakuna!.... Ila wengi waliweka alama ya ?!!!

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.