Header Ads

Breaking News
recent

50 CENT AZIDI KUONGEZA BEEF MPYA; SASA AMGEUKIA MENEJA WA "P DIDY".

Baada ya msanii kiongozi wa kundi la G Unit 50 Cent kumchana masanii aliyekuwa katika kundi lake "Game" katika wimbo wake mpya wa "My Life", walidissiana na msanii French Montana, na sasa amemdisi meneja wa Puff Dady - 'James Cruz' na kumuita demu wa Didy.

Cheki Tweet alizomdissi meneja wa Puff Dady.....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.