ITV HABARI: Majambazi kuiba Tsh. Mil 150 na kuuwa watu 2 jijini DSM.
Risasi zimerindima katika mitaa ya Kariakoo jijini dar es salaam na kusababisha hali ya taharuki baada ya majambazi kuiba shilingi milioni 150 na kuuwa watu wawili kwa kuwapiga risasi na kujeruhi wengine huku baadhi ya maduka kufungwa.
SOURCE: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA