CHRIS BROWN NA BIG SEAN WAANIKA MAISHA YAO XXL. XXL.
Mwanamuziki aliyeghubikwa kwa skendo kwa sasa (Chris Brown) baada ya kurushiana maneno machafu na mchekeshaji Jenny Johnson katika mtandao wa Tweeter hivi karibuni, na kufikia kuchukua uamuzi wa kufuta acount yake ameweka wazi maisha yake ya muziki, maisha yake katika mapenzi na mengineyo kibao likiwemo na lile la kurudiana na Rihanna na pia la kujilinganisha na 2PAC ndani ya jarida la XXL la huko Marekani.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA