Serikali imevunja bodi ya wafanyabiashara wanaoagiza mafuta na kuunda bodi nyingine ambayo itakuwa na wawakilishi kutoka EWURA, wizara ya nishati, TRA na mamlaka ya bandari huku kampuni zilizopewa leseni na kukaa nazo bila kuagiza mafuta zikifungiwa kufanya biashara hapa nchini.
SERIKALI YAVUNJA BODI YA WAFANYABIASHARA WANAOAGIZA MAFUTA NA KUUNDA NYINGINE.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, November 02, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA