PICHA ZA MAENEO MBALI MBALI YALIYOHARIBIWA NA KIMBUNGA SANDY NCHINI MAREKANI.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
| Haya ni baadhi ya madhara yaliyosababishwa na kimbunga SANDY huko nchini Marekani, wakazi wengi walazimika kuyahama makazi yao na kusafiri mbali na makazi yao. |
| Nyumba zilizotengenezwa kwa mbao zikiwa zimeng'olewa na kuharibiwa vibaya. |
![]() |
| Wakazi hawa wakisubilia mafuta, huku kwa ripoti zilizopo, takribani watu milioni nane nchini Marekani hawana umeme baada ya kimbunga SANDY kuharibu mfumo mzima wa umeme. |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |





No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA