GARI LA JACK WALPER LILIVYOUNGUA MOTO, SASA ALIA NA WABAYA WAKE.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Usiku wa kuamkia tarehe 23 mwezi uliopita watu wasiojulikana walilichoma kwa moto gari la Jackline Wolper lililokuwa limepakiwa nyumbani kwake. Hata hivyo gari hili halikuungua lote.
![]() |
| Hapa ni baada ya kuungua. |
![]() |
| Eneo lililoungua. |
![]() |
Kupitia blog yake, Jack ameandika:
Kiukweli mimi kama
Jacquline Wolper sina ubaya na mtu yeyote, ila nmeshangaa kuona watu nisiyo
wajua kuja usiku wa manane na kunichomea gari yangu. Kiukweli siwezi kumuhisi
mtu ila najua ni lazima atakua mtu asiependa maendeleo yangu ni ni mtu mbaya sana kwangu. Na
inawezekana kabisa alipanga kunia lakni kwa bahati nzuri siku hiyo sikua
nyumbani nilikua nimesafiri. Tukio lilitokea usiku wa tarehe 23/10/2012 ambapo
mtu alitumia matambara yaliyo na mafuta ya taa au Petrol akiwa kwa nje ya ukuta
wa nyumba yangu akiwa anarusha kwa ndani. Nimepeleka taarifa kituo cha Polisi
kawe kwa kutaka msaada wa kiupelezi na nitakua nawapa taarifa za kila
kinachoendelea. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwani niko salama.




No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA