Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA SHINDANO LA REDD'S MISS TANZANIA 2012 AMBAPO MSHINDI WA TAJI HILO NI "BRIGIT ALFRED.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Mshindi wa  Redd's Miss Tanzania Brigit Alfred akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi.
 Shindano la Redd's Miss Tanzania limemalizika huku mrembo kutoka  Kinondoni, "Brigit Alfred" akitwaa taji hilo kwa furaha zote baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Redd's Miss Tanzani jana usiku katika ukumbi wa  hotel ya 'Blue Peal' Ubungo Plaza jijini Dar es salaam .

Redd's Miss Tanzania Brigit Alfred akiwa katika pozi mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi.
Mshindi wa Redd's Miss Tanzania Brigit Alfred (katikati) akiwa na mshindi wa pili "Eugene Fabian (kushoto) pamoja na mshindi wa tatu Edda Sylvester (kulia) mara baada ya kutangaza mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2012.

Mshindi wa Miss Tanzania 2011 Salha Israel (kulia ) akiwa na mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2012 Brigit Alfred (kulia).
Hawa ndio washindi waliofanikiwa kuingia tano bora.




Brigit Alfred akiwa katika pozi kabla ya kutangazwa mshindi.
Picha kwa hisani ya Father Kidevu na Michuzi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.