Header Ads

Breaking News
recent

"ARUSHA KILELE" NI WIMBO WA WASANII WA ARUSHA KWAAJILI YA KUSHEREHEKEA ARUSHA KUWA JIJI 1.11.2012..

Asili Yetu Tanzania.Copyright

 Katika kusherehekea Arusha kuwa Jiji,Artists kutoka kaskazini kwa pamoja wamerecord track pande za noizmekah studios kwa hisani kuu ya Serikali yaani ofisi ya mkuu wa mkoa na Manispaa ya jiji, nyimbo inakwenda kwa jina la "Arusha Kilele" inayozungumzia mema na mazuri tele kuhusu Arusha.sikiliza na kudownload hapa kusupport Tanzanian music.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.