PICHA ZA NYUMBA MPYA YA MWANAMUZIKI BRITNEY SPEARS.
Hii
ndio nyumba mpya ya msanii wa Pop Britney Spears alionunua mwisho wa
mwezi wa kumi mwaka huu. Nyumba hio ipo mjini Los Angeles na Inathamani
ya Dollar za Kimarekani Million 8.5 $.Kwenye nyumba hii amehamia na
watoto wake wawili.Kwali kazi ya kuwa Judge wa mashindano ya kuimba X
Factor inalipa sana. Fahamu kuwa mkataba wake na X Factor ni dollar
Million 15$.
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |







No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA