JUSTIN BIEBER NA MPENZI WAKE SELENA GOMEZ WAACHANA.
![]() |
| Justin Bieber na Selena Gomez. |
Ni wiki imepita sasa tokea vyanzo tofauti tofauti vya habari vieleze kuwa kutokana na ratiba ya kazi ya wawili hawa kutofautiana na kuwa ngumu, wameshindwa kuboresha mahusiano yao na kujikuta wakiachana kimia kimia.
Wapenzi hawa waliamua kuanika mahusiano yao hadharani tokea mwezi February 2011 wakati walipohudhulia sherehe za Osca. Hata hivyo Selena na Bieber hawajafunguka kitu chochote kuhusina na habari kibao zinazohusu kuachana.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA