Header Ads

Breaking News
recent

PICHA MPYA ZA SHANIA TWAIN ALIYEIMBA ULE WIMBO WA "Still The One".

Mwanamuziki wa miondoko ya Country - 'Sahnia Twain' jana akiiwasili katika mji wa RAS VEGAS ambako atapiga shoo ya wimbo wake wa "Still The One". Shania Twain mwenye umri wa miaka 47 ndiye mwanamuziki wa kike wa miondoko ya country ambaye anayeshikilia mauzo ya juu. Shania raia wa Canada ameuza kopy album zaidi ya milioni 75 dunia nzima.


SHANIA TWAIN AKIWA NA FARASI JANA.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.