Header Ads

Breaking News
recent

Mtaa wa Tegeta wafungwa kwa zaidi ya saa moja kufuatia vurugu.


Mtaa wa Tegeta manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam ulifungwa kwa takriban saa moja baada ya kijana mmoja muuza duka kudaiwa kupigwa risasi ya moto katika vurugu baina ya madereva na jeshi la polisi wakilituhumu kutumiwa vibaya na wakala wa barabara tanroad katika operesheni yao ya kuzuia kuegesha magari kandokando mwa barabara ya Bagamoyo eneo la Tegeta.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.