Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki wamezindua rasmi barabaraya Arusha-Namanga-Athiriver ambayo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya barabara inayotekelezwa kupitiampango wa jumuiya wa kuboresha miundombinu ya barabara.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA