HOSPITALI YA KCMC YAKABILIWA NA MSONGAMANO WA MAJERUHI WA AJALI.
Hisipitali ya rufaa ya KCMC inakabiliwa na tatizo kubwa la msongamano wa majeruhi wa ajali zikiwemo za barabarani asilimia kubwa zikiwa ni zile zinazotokana na pikipiki maarufu kama boda boda.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA