Header Ads

Breaking News
recent

TANZANIA IMELAANI VIKALI HATUA YA WAASI WA M23 KUUTEKA MJI WA GOMA DRC.



Tanzania imelaani vikali hatua iliyochukuliwa na waasi wa kikundi cha m23 cha kuuteka mji wa Goma jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wakati mazungumzo yakiwa bado yanaendelea na kuwataka waasi hao kuondoka mara moja.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.