Header Ads

Breaking News
recent

HII NDIO VIDEO YA MAZISHI YA SHARO MILLIONEA KUPITIA TAARIFA YA HABARI YA ITV JANA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na tasnia ya filamu nchini Hussein Ramadhani ''Sharo Milionea''amezikwa leo kijijini kwao lusanga Kilichopo wilayani Muheza na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali na wasanii mbali mbali nchini.(SAMAHANI VIDEO HII ILIPOTEA BUT NOW NIMEIWEKA SAWA).

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.