Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki wakiongozwa na Rais wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete wamezindua rasmi majengo mapya ya makao makuu ya jumuiya hiyo yaliyoko jijini Arusha yaliyojengwa chini ya ushirikiano wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
Source: ITV
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA