DRAKE AFIWA NA BIBI YAKE "Evelyn Sher" ALIYEMTAJA KATIKA NYIMBO KIBAO - AGHUBIKWA NA MAJONZI KUPITA KAWAIDA.
![]() |
| Drake akiwa na bibi yake "Evelyn Sher" kabla ya kifo chake. |
Msanii wa hip hop mwenye asili ya Canada ‘Drake” jana alitweet kuwa amefiwa na bibi yake kipenzi “Evelyn
Sher” ambaye msanii huyu alipenda kumuita “Bubby”.
Msanii Drake
ameonekana kuwa na majonzi makubwa kuondokewa na bibi yake, kitukichomsababisha
aandike ujumbe huu Tweeter, Rest in
peace to my grandmother Evelyn Sher. What a day to go...thankful to have had
the times we did."
Drake, alizaliwa Aubrey Graham, amefahamika sana baada ya kuupatia muziki moyo wake wote, huku akionekana na kummwagia upendo bibi yake katika mashairi ya baadhi ya nyimbo zake.
Drake amemtaja bibi yake katika wimbo "The Resistance," pia katika wimbo huu ambao haujatoka,
"The Winner." Sher (bibi) pia ametokea sehemu ya mwisho ya wimbo huu "Look What I've
Done," off his Take Care album. "All I can say Aubrey is, I remember
the good times we had together," she says. "And the times I used to
look after you and I still have wonderful feelings about that. So God bless
you, and I hope I'll see you."
Losing a loved on is never easy, and around the holidays is
probably that much worse.
Hivi ndivyo ilivyo kwa sasa kwa msanii Drizzy-Drake akiwa katika majonzi ya kumpoteza mtu aliyempenda zaidi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA