Header Ads

Breaking News
recent

Kesi ya Chris Brown na Drake mahakama haitawahukumu.

Chris Brown na Drake wamenusurika kwenda jela baada ya uchunguzi wa mahakama kutobaini uvunjwaji wa sheria ambapo mnamo Juni 14 mastaa hawa wawili walirushiana chupa katika club moja huko New york.

 Chanzo kimeieleza TMZ leo kuwa hakuna kilichopatikana katika zile chupa zilizo wajeruhi watu, hivyo uchunguzi huo umekuwa ndio mwisho wa kesi hiyo na hakuna mtu yeyote atakaye hukumiwa.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.