Header Ads

Breaking News
recent

French Montana Amemdis 50 Cent Kwa Kumuita "Punda".

 Beef mpya imeibuka upya kwa wasanii kwa wasanii wa hip hop ikiwa ni baada ya msanii "French Montana" kumuita PUNDA kiongozi wa G-UNIT 50 Cent.

Montana pia ameshawahi kuwataja wasanii hawa Lil Wayne, Drake, 2 Chainz, na Rick Ross kuwa wanafanana na sehemu hizo hapo juu ya picha zilizozungushiwa miduara katika paji la Punda.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.