Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA WATU MAARUFU 6 WANAOFANANA SAWA NA WATOTO WAO.

Tunda haliwezi kuanguka mbali na mti wake. Tumekuwa tukisikia hili hata kabla, lakini kwa mastaa hawa wanaotazamana na watoto wao, wamekuwa wakionekana kufanana sana na watoto wao utazani ni mapacha.

Mastaa hawa 6 wa watoto katika  picha hiyo hapo juu, wanaonekana kufanana...


1. Cindy Crawford  2. David Beckham 3. Gwen Stefani 4.  Kate Moss  5. Katie Holmes  6. Reese Witherspoon

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.