Header Ads

Breaking News
recent

VIONGOZI WA JUMUIA YA UAMSHO WARUDISHWA TENA RUMANDE.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Baadhi ya Askari wa kutuliza fujo wakiwa Mahakama kuu Zanzibar Vuga kwa lengo la kutuliza amani Mahakamani hapo.


Mawakili wa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Abdallah Juma kushoto na Salim Tawfik wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu kujitoa kwao siku ya leo katika kesi hiyo kutokana na usumbufu wanaofanyiwa wateja wao  kuhangaishwa na kukosa kupelekwa Mahakama ya Kwerekwe kwa muda muafaka.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
  Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Sheikh Farid Hadi Ahmed kushoto akiwa na wenzake sita walioletwa Mahakama kuu Zanzibar Vuga wakiwa hawana ndevu na kufunguliwa mashtaka manne mapya mahakamani hapo yakiwemo kuharibu mali za watu zenye thamani ya Shl.Milioni 50 na kufanya vurugu za makusudi zakuhatarisha amani katika nchi.
HABARI NA Haki Ngowi

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.