Kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa jumuia ya Muamsho imechukua sura mpya baada ya viongozi hao kufunguliwa kesi mpya ya kuhatarisha usalama wa taifa na kujikuta wakirudishwa rumande tena huku mawakili wa watuhumiwa hao wakisusia kesi.
VIONGOZI WA UAMSHO WAFUNGULIWA KESI MPYA YA KUHATARISHA USALAMA WA TAIFA.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, October 25, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA