Header Ads

Breaking News
recent

RIPOTI YA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI DAUDI MWANGOSI YATOLEWA.

Asili Yetu Tanzania.Copyright



Ripoti ya uchunguzi uliofanywa na timu maalum iliyoundwa na baraza la habari kushirikiana na jukwaa la wahariri Tanzania imebaini kuwa,aliyekuwa mwandishi wa Channel Ten marehemu Daudi Mwangosi,alizingirwa na kupigwa na polisi wasiopungua saba na kuuwawa akiwa mikononi mwa polisi chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa RPC Michael Kamuhanda.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.