Header Ads

Breaking News
recent

SOKO JIPYA LA NMC WALILOTENGEWA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO MJINI ARUSHA.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Hili ndilo soko  jipya la NMC walilotengewa wafanyabiashara wadogo wadogo wa mjini Arusha, ikiwa ni kufuatiwa kuanza mchakato wa kuondoa wafanya biashara wote waliopanga bidhaa zao pembeni ya bara bara na nje ya maduka mjini hapa. Hatahivyo zoezi la kuwaondoa wamachinga katika maeneo ya mjini Arusha.
Hawa ni baadhi ya wafanya biashara ndani ya soko hili.
Baadhi ya vibanda katika soko hili, viko wazi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.