Wapo baadhi ya watu huweza kuona kifo na wengine hushitukizwa tu, lakini hawa wanakishuhudia live jinsi kinavyowatamani na kudondosha mate kwaajili yao. Uimara wa gari hili huenda ukawa ni mkubwa kwa watalii hawa, hivyo wanakula good time. Pigia kura vivutio vyetu vya asili, yani Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro n.k.
PICHA HATARI YA WATU WALIO KATIKATI YA KIFO.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, October 08, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA