COUNTRY STAR 'SCOTTY McCREERY', THE PLUTNUM - SELLING TEEN.. BACK TO SCHOOL.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Mkali wa miondoko ya muziki wa Country Scotty McCreery ambae mauzoyake yanafikia plutinum na aliyekuwa mshindi wa Amerikani Idol kipindikilichopita, ameamua kujitupa katika chuo kikuu cha North Carolina State University.
Scotty amefunguka kuwa anaweza kuutumia muda wa masomo ya chuo na muda wa muziki wa country. Pia mkali huyu wa miondoko ya Country akusita kuweka matokeo yake ya majaribio ya mwaka wake wa kwanza, alisema; "Katika mtihani wangu wa kwanza wa hesabu nilipata maksi 98 kwasababu kwanza hesabu sii somo langu nilipendalo.
Hii si mara ya kwanza kwa msanii huyu kufanya vizuri bali alishawahi kushika namba moja katika season 10 ya Idol, hivyo kuwa mwanamuziki mwenye umri mdogo pekee kuingia na kushika namba moja katika chati ya Billboard.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA