MAMA YAKE DOGO JANJA AELEZA NA KUTOA YAKE YA MOYONI KUHUSU MWANAE DOGO JANJA.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
| Mama Mzazi wa msanii Dogo Janja amezungumza katika interview maalum kuhusu mwanae jinsi alivyoijgia kwenye muziki, mabadiliko ya mwanae tangu ajiunge na Mtanashati,wimbo anaoupenda wa mwanae Dogo Janja na ushauri alionao kwa wazazi wenzake.MSIKILIZE Mama Dogo Janja bonyeza hapa www.annapita.blogspot.com |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA