MELI YA AZAM MARINE (SEA LINK 1) IMEWASILI UNGUJA LEO.
Asili Yetu © All rights reserved
Kampuni ya Azam marine inayomiliki boti ziendazo kwa kasi hapa nchini, leo imeingiza Meli mpya na ya kisasa itakayochukua zaidi ya abiria 1500 na magari 200.
Meneja mkuu wa kampuni ya Azam Marine bwana Hussein Mohammed Said amesema leo mjini Zanzibar kuwa meli hiyo ambayo itafanya safari zake kati ya Dar es salaam, Zanzibar na Pemba.




No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA