Asili Yetu © All rights reserved
 |
| Basi la Da Express likiteketea kwa moto. |
Habari
zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema watu 65 wamenusurika kufa
eneo la Segera Mkoani Tanga baada ya basi la Dar Express lililokuwa
likitokea Arusha kwenda Dar Es Salaam kuteketezwa na Moto.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA