Header Ads

Breaking News
recent

AJALI YA BASI LA RS ILIYOTOKEA WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA, WATATU WAFARIKI DUNIA NA 24 MAJERUHI: ASILI YETU BLOG

Asili Yetu © All rights reserved

Ajali ya basi la RS Epress
 Watu watatu wafariki dunia na wengine 24 ni majeruhi katika ajli ya Basi la RS lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Bukoba na kugongana na lori la mizigo katika Kijiji cha Ngogwa Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga ,kwa sasa wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama.


Huu ndio muonekano wa Lori baada ya  kugongana na basi la RS.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.