JUSTIN BIEBER AUGUA NA KUTAPIKA JUKWAANI MARA MBILI: ASILI YETU BLOG
Asili Yetu © All rights reserved
![]() |
| JUSTIN BIEBER. |
Bieber ambaye alikuwa akiangusha shoo yake ya kitaifa katika 45 cities "Believe" alijikuta katika wakati mugumu baada ya kuugua ghafla na kutapika stejini mara mbili.Hata hivyo Bieber alipoondoka stejini mashabiki wake waliendelea kuimba nyimbo zake.
Msanii huyo wa miondoko ya pop mara baada ya muda mfupi ali- tweet akiwapa uhakika mashabiki wake wa kuendelea na shoo yake. " "Great show. Getting better for tomorrow's show !!!! Love u",
Na baadae kidogo alidondosha ukweli wa mambo kuwa...... maziwa ndio tatizo la kutapika kwake....."And .... Milk was a bad choice!"
Shoo yake ya 45 Cities "Believe" imeendelea.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA