Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA MAMA YAKE DIAMOND AKIWA MGONJWA HOSPITALINI: ASILI YETU BLOG

Asili Yetu © All rights reserved

Mama yake msanii na kinara cha muziki wa bongo fleva DIAMOND ameugua usiku na kukimbizwa katika hospitali ya Marie Stopes jijini Dar es salaam. Kupitia website ya msanii Diamond aliweka picha kibao za mama yake akiwa hospitali akionekana kweli anaumwa sana, katika picha Diamond ameonekana ni mwenye huzuni sana. Tumuombee mama yake Diamond ili apone mapema.
Akiwa  Hospitali
Akiwa Hospitali
Hapa akiwa hospitali
Mama wa Diamond akiwa hoi anaumwa.
Diamond na mama yake wakiwa wote wamejiinamia kwa huzuni.
Katika picha kulia ni Diamond akiwa katika huzuni kuuguliwa mama yake mzazi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.