Header Ads

Breaking News
recent

BREAKING NEWS.........KIONGOZI WA JUMUIA YA UAMSHO ALIYETOWEKA BWANA AMIRI FARIDI APATIKANA.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Akizungumza na live na radio One  kiongozi wa jumuia ya  Uamsho bwana Amiri Faridi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha wiki hii amepatikana.

Akizungumza kiongozi huyu "Amiri Faridi" mida hii, Asili Yetu Tanzania imenasa mazungumzo yake na radio one  saa 5: 56 usiku  kutoka Zanzibar, akidai kuwa alikamatwa na watu wa usalama na huko alikokuwa alikuwa akihojiwa na polisi. Kwa habari zaidi amesema atazitoa kesho yake.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.