Header Ads

Breaking News
recent

MAY C NA WIMBO MPYA "Ma Side" ft. JamStory.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Mwanadada May C aliyeimba rudgalz round hii anadrop ngoma mpya iitwayo "Ma Side" akimshirikisha Mchiz toka mule mule aratown/ arachuga  mzee mzima "JamStory" aliyerap katika track hii, ikiwa ni single ya mahadhi ya RNB. 

May C aka “May Chedda” ameweza kubadilika kiuimbaji kutokana na beat hii aliyotengeneza Producer/Presenter SkyWizzy pande za DSM na vocal zikiwa zimesmamiwa na Defxtro,"All ma fans nashurkuru kwa ukaribu na  support mnayonipa katika kufanya music,Mungu awape baraka tele nizidi kufanya vema katika Game!Watu wetu wa karibu supportb  kwa ku-download hapa...Asante!!!!!

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.