KIKUNDI CHA UAMSHO WAITAKA SERIKALI KUELEZA ALIKO KIONGOZI WA KUNDI HILO.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Wakati kiongozi wa kikundi cha Uamsho Amir Farid hadi hajapatikana mmoja ya kiongozi wa juu wa kikundi hicho Sheikh Azan Hamdan amezitaka taasisi za serikali zinazohusika ziwe zimeshatoa tamko ifikapo saa kumi Jumamosi kabla wao hawajatoa msimamo wao.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA