Header Ads

Breaking News
recent

BAADHI YA WAANDAMANAJI WAFANIKIWA KUPENYA NA KUFIKA MPAKA IKILU.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Licha ya polisi kuweka ulinzi mkali katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar Es Salaam kuwadhibiti watu wanaodhaniwa ni Waumini wa dini ya Kiislamu waliokuwa na nia ya kufanya maandamano kuelekea Ikulu kwa lengo la kushinikiza kuachiliwa huru wenzao wanaoshikiliwa na polisi baadhi yao wamefanikiwa kupenya hadi katika maeneo ya Ikulu japo wameishia mikononi mwa polisi waliokuwa wamezunguka kona zote za makazi hayo ya raisi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.