Header Ads

Breaking News
recent

POLISI YATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA WALIOTAKA KUANDAMANA.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi katika maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam kutawanya makundi ya Waislam waliokuwa na lengo la kutaka kuandamana kushinikiza wenzao waliokamatwa kuachiwa hali iliyosababisha tafrani na maduka yote kufungwa kwa muda katika maeneo hayo.


No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.