Asili Yetu © All rights reserved
Kwenda shuleni wakati mwingine bila viatu, kuwa na sale moja ya shule kwa wiki nzima, kukaa chini kwenye mavumbi darasani, kulundikana wanafunzi 100 katika darasa moja na kufundishwa na mwalimu mmoja.
Je, viongozi wetu tunasahau haya, kuwa mambo haya bado yanaendelea huko vijijini? Tuwasaidie wenzetu waliko bado katika vijijini.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA